ZARI atoa POVU zito Kwa Watanzanua "Tumieni Akili, Mnaniona Mimi JEURI" Kisa Cha Haya Yote ni Msiba wa Mkapa


Aliekua Mpenzi wa Zamani wa DiamondPlatnumz Zarithebosslady Kupitia Ukurasa Wake wa Instagramu InstaStory, Amechukizwa na Watu Wanao Msema Kuhusu Suala Zima la Msiba Unao Endelea Hapa Tanzaniana Ikiwa Yeye Anafanya Mambo Yake Lakini Mashabiki Wake Walikua Wakimsema Kupitia Ukurasa Wake wa Instagramu.

Msikilize Hapa Mpaka Mwisho Kisha Weka Comment Yako Hapa Tafadhali.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments