Zifahamu Faida Za ndizi Kwa Mwanaume Aliye Kwenye Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndizi ni tunda linalopendwa na watu wengi sana kwenye jamii ya watanzania lakini je unajua ndizi zinaweza kukusaidia mwanaume kwenye shughuli za ndoa na kutimiza majukumu yako ya uwamaume vizuri kwa mke wako au mwenzi wako leo tutazame faida tatu za ndizi kwa wamaume kwenye sehemu ya mahusiano

1.Ndizi Ni Chanzo Kikubwa Cha Nguvu Mwilini


Ndizi mbivu zina kiwango kizuri cha Glucose ambayo huingia kwenye damu moja kwa moja na kuleta msisimuko na kuongeza utendaji wa kazi wa mwilini si unasikia wachezaji wanaambiwa wabugie Glucose kwenye kipindi cha mapunziko sasa ndizi ni glucose salama zaidi tena sio glucose pekee na faida zingine kibao

2.Ndizi ina madini kiasi kikubwa ya Potassium

 siku kuwa ukiwa na kisukari (BP) uwezo wako wa kucheza mechi kitandani unakuwa mdogo basi ndizi ina madini ya potassium ambayo yanasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini ndugu yangu kama ukila ndizi mbivu mbili kwa siku unadhani hiyo sukari inashushwa kiasi gani Stuka bwana

3.Ndizi husaidia Mfumo wa Mmengenyo wa Chakula

Unajua kitambi kinasababishwa na nini ni wingi wa mafuta ambayo yapo mwilini yameshindwa kuchanywa vizuri na mfumo wa mmengenyo sasa sikia ndizi  inasaidia mfumo wa chakula kufanya kazi yake vizuri na kwa haraka sasa unapokula ndizi inaenda kuongeza nguvu kwenye mfumo huu na mafuta ambayo yanashindwa kutumika mwilini yatatumika kwa kiasi kwenye mfumo huu hivyo kukusaidia kwenye mambo ya kitandani maana mlundikano wa mafuta husababisha Presha inayozuia kufanya vizuri kitandani

Hizo ni faida kuu za ndizi mwilini lakini haimanishi kuwa ukila ndizi mchana usiku wake mambo yatabadilika ni swala la muda na mazoea pia usisahau mazoezi na vyakula vyenye wingi wa protine na vitamin

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad