Zitto: Mkapa Hakutumia Nafasi yake Kupendelea Maendelea Katika Wilaya yake ya Lupaso

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kiongozi was Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ameshiriki mazishi Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kijijini kwake Lupaso mkoani Mtwara hakutumia nafasi yake kupendelea Wilaya yake kimaendeleo.

“Kuna mamjo kadhaa ambayo binafsi sikukubaliana na Rais Mkapa lakini kama ilivyo kwa Nyerere, Mwinyi na Kikwete hakutumia nafasi yake kupendelea Wilaya yake kimaendeleo,” aliandika Zitto.

Zitto aliandika ujumbe huo Jana katika ukurasa wake was twitter kuwa “Lupaso hakuna hifadhi ya taifa, hakuna uwanja wa ndege, sio wa kimataifa  Bali hats airstrip, hakuna hospitali ya rufaa hakuna ofisi ya TRA, Zimamoto, wala Takukuru,”

Zitto amesema mawaziri wa Mkapa hawakukimbizana kumfurahisha kwa kupeleka miradi Lupaso
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad