7/16/2020

Zitto: Nimejulishwa na mawakili Sheikh Ponda haonekani katika vituo vya polisi, Tunataka aachiwe awe huru


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema amejulishwa na mawakili kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda haonekani kwenye vituo vyote vya polisi jijini Dar es Salaam.

“Pamoja na juhudi zinazofanywa na mawakili kuhakikisha kuwa anafikishwa mahakamani,” aliandika Zitto katika ukurasa wake wa twitter.

Zitto amelitaka jeshi la polisi  kumuachia huru mara moja Sheik Ponda na kwamba wanatakiwa kutenda haki.

“Nimejulishwa na mawakili kuwa Sheikh Ponda haonekani vituo vyote vya polisi Dar es Salaam. Pamoja na juhudi zinazofanywa na mawakili kuhakikisha kuwa anafikishwa mahakamani, nawataka jeshi la polisi kumuachia huru mara moja Sheikh Ponda @ tanpol wanapaswa kutenda haki,” aliandika Zitto.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger