Abdukiba: Collabo yangu na Mbosso itaushangaza ulimwengu, wasanii wenzetu hushangaa nikipiga nae stori (+Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Katika lebo ya muziki ya @kingsmusicrecords iliyopo chini ya @officialalikiba @officialabdukibaa amezungumzia ukaribu wake na @mbosso_ kutoka WCB chini ya @diamondplatnumz

@officialabdukibaa amesema kuwa Collabo yake na @mbosso_ itaushangaza ulimwengu siku wakiamua kufanya ngoma ya pamoja kwa yeye na @mbosso_ hawana tatizo na ni rafiki yake wa muda.

@officialabdukibaa ameongeza kuwa mara nyingi wanakutanaga kwa Prouducer @moccogenius na wasanii wenzake huwaangalia na kusubiri kitu gani kitatokea lakini mwisho wa siku hupiga stori na kucheka.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad