AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT - Wazalendo umempitisha Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais Zanzibar kwa chama hicho baada ya kupata kura 419 sawa na asilimia 99.76 ya kura zote huku akikosa kura moja sawa na asilimia 0.24.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK