8/18/2020

Adam Mchomvu Ataja Sababu za Kumpiga Emmanuel Mbasha StejiniMtangazaji wa clouds fm Adam Mchomvu amesema sababu za kumpiga mtama stejini mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha Ni kutokana na kumuita Adamu mabangi

Amesema kitendo hicho kimemuudhi kwa kuwa KAULI hiyo ameitoa kwenye tamasha ambalo linaangaliwa na watu wengi akiwemo Rais Magufuli, hivyo bado hajamalizana na Mbasha kwa kuwa atamfuata na kumalizana naye bila watu kuona
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger