8/08/2020

Aishi Manula achukua Tuzo ya Golikipa Bora wa Msimu wa 2019/20MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amechaguliwa kuwa Golikipa Bora wa Msimu wa 2019/20.

Tuzo imepokelewa na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga.

Manula alikuwa akipambana na Nourdine Barola wa Namungo FC pamoja na Daniel Mgore wa Biashara United.

Kwa msimu wa 2019/20 Manula amekiongoza kikosi cha Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara huku akijikusanyia jumla ya clean sheet 17. 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger