8/31/2020

Aliyekatwa CCM Atoa Matairi Kusaka Kura za JPMAliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Momba Mkoani Songwe, Ombeni Nanyaro (CCM) ameupatia uongozi wa chama hicho mkoa wa Songwe tairi mpya za gari ili zitumike kusaka kura za Rais Dkt. John Magufuli pande zote bila kizuizi chochote cha usafiri.Nanyaro amemkabidhi tairi hizo Katibu wa CCM Mkoa wa Songwe, Mercy Mollel leo Agosti 31, 2020 na kuongeza kuwa kushindwa kuteuliwa kuwania Ubunge hakumfanyi kuacha kujenga chama na kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.Aidha, Katibu wa CCM Songwe, Mercy Molel amempongeza Nanyaro kwa moyo aliouonyesha mbaele ya chama na kwa Mh. Rais pamoja na Wagombea wengine wa CCM wa mkoa huo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger