Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Arsenal Watwaa Ubingwa wa Kombe la FA, waichapa Chelsea Kipigo Kibaya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Arsenal watwaa Ubingwa wa Kombe la FA, waichapa Chelsea mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali.

Fainali hiyo iliyochezwa leo katika Uwanja wa Wembley jijini London pasina uwepo wa mashabiki, imewashuhudia Arsenal ya Kocha Mikel Arteta ikitwaa ubingwa huo kwa mara ya 14 katika historia ya klabu hiyo.

Mabao mawili ya Mwafrika raia wa Gabon, Pierre Emerick Aubameyang yametosha kuipa ushindi na taji hilo ambalo limewapa tiketi ya moja kwa moja kucheza michuano ya UEFA Europa League msimu wa mwaka 2020/21

Post a Comment

0 Comments