Askari Apandishwa CHEO Baada ya Kukarabati Nyumba ya Jeshi la Magereza Kwa Mshahara Wake

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA
CGP - Suleiman Mzee mapema Jana amempandisha cheo Askari Na. 4162 Wdrs Nezia Maingu wa Gereza Ludewa kuwa Koplo wa Magereza kutokana na kujitolea kukarabati nyumba ya Jeshi anayoishi kwa fedha zake binafsi kitendo ambacho ni Uzalendo na moyo wa kujitolea Jeshini.

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad