8/06/2020

Atuhumiwa kwa Kuua Ndugu Zake Waliomtuhumu Kuiba Kuku na RedioMwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndngu zake waliomtuhumu kuiba kuku na redio.

Mtu huyo alimkataka mjomba wake, Jackson Olong na alimshambulia mke wa mjomba wake na kumkata koromeo. Mtu huyo aliwalaumu nduguze kwa kuchafua jina lake kuwa amewaibia vitu vyao.

Mwenyekiti wa Agweng, Marino Ogwang alisema mtu huyo alituhumiwa na nduguze kuuza vitu vyao ili akanunue pombe. Kamanda wa polisi Paul Nkore amesema mtuhumiwa atashtakiwa kwa kesi ya mauaji.

====

A 33-year-old man has been detained for allegedly killing his two relatives who had accused him of stealing their radio set and a chicken in Lira District. It is reported that the attacker on Tuesday hacked his uncle, Jackson Olong.

After cutting Olong into pieces, he attacked Olong’s wife and slit her throat. He accused the two of tarnishing his name by claiming that he had stolen their property. The gruesome murder took place at Ayitunga Village, Te-oburu Parish in Agweng Sub-county at about 9pm on Tuesday.

The victims had accused the suspect of selling the radio and the chicken to buy alcohol, according to Mr Marino Ogwang, the Agweng Sub-county chairman. “His uncle had been complaining that he stole his radio set which was his only source of news,” Mr Ogwang said.

Mr Ogwang said that after the attack, the suspect fled to Alibi Parish, Aleka Sub-county in Oyam District, where he was trailed and arrested by local leaders on Wednesday. North Kyoga Regional Police Commander, Mr Paul Nkore, said the suspect will be charged with murder.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger