8/21/2020

August Alsina Afunguka Kwanini Aliamua Kufunguka Mahusiano yake na JADA Pinket Mke wa Will Smith

Alsina alichafua hali ya hewa mwezi uliopita kwa kuanika ukweli kwamba yupo kwenye mahusiano na mke wa Will Smith, Jada Pinkett Smith.

Kwenye mahojiano na Jarida la PEOPLE, Alsina amesema hakufanya hivyo kwa nia ya kuharibu familia ya Smith, na hajutii maamuzi yake ya kuongea ukweli.

Kauli ya August Alsina kuhusu kuwa kwenye mahusiano na Jada ilipelekea mwanamama huyo kutoka na kuzungumza pia ambapo alikiri, tena akiwa mbele ya mumewe, Will Smith kwenye kipindi chake cha Red Table Talk.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger