8/11/2020

Baba Levo "Mimi ni Chawa wa Shilole na Akifariki Natalia Machozi Yafike Kumara"


Kupitia kipindi cha #BigSundayLive kinachoruka @wasafitv Kila Jumapili Saa 3 Usiku, @officialbabalevo amesema kuwa msanii @officialshilole hana uwezo wa kuendesha maisha yake kwa sababu yeye ana maisha ya Gharama kubwa zaidi kumzidi, ila anachokifanya ni kufanya vitu vyote ambavyo Shilole anavipenda ili apate chochote kujikimu kimaisha


#BabaLevo ameongeza kuwa yeye ni mtu ambae anajiongeza sana katika Maisha na hata Mshahara wake anaopata ni Laki 3 na Nusu lakini huwa anajiongeza ongeza mpaka inafika milioni 2 na laki 3


@officialbabalevo amesema kuwa haoni aibu wala haoni shida kuitwa CHAWA wa SHILOLE Kwani hakuna ubaya wowote na kwa jinsi anavyomkubali Shilole akifariki atalia machozi ambayo yanaweza kufika KIMARA 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger