8/11/2020

Babu Tale: Tangu umeniacha Mama TT nahisi bado nipo kwenye ndoto Ikiwa ni siku arobaini na tano zimepita tangu kufariki kwa aliyekuwa mke wa Meneja wa wcb wasafi Babu Tale kuaga dunia na ni takriban wiki saba tangu kwa BABU TALE Kupost Picha Yoyote Katika Mtandao Wake Wa Instagram

Kwa Mara ya kwanza leo BABU TALE amepost vdeo ya aliye kuwa mke wake na kusindikiza na Caption Inayosomeka....

''RIP my wife 💔💔💔 Ni 45 days tangu umeniacha Mama TT nahisi bado nipo kwenye ndoto''

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger