8/29/2020

Boniface Jacob "Nimeenguliwa Kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo"


Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob (CHADEMA) amedai kupokea barua toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi kumuarifu kuwa ameenguliwa kugombea Ubunge katika jimbo hilo

Amesema anafanya taratibu za kukata rufaa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger