8/09/2020

Bosi wa Simba atua Yanga Baada ya kujiuzuru masaa machache tuMuda wowote Wananchi watamwaga Ugali baada ya majirani zao kumwaga Mboga. Inadaiwa Klabu ya Yanga  imeamua kumng’oa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba ,Senzo Mazingisa 


Hakika huu ni usajili wa Kishindo na usiotabirika, muda mchache uliyopita Senzo alitangaza kujiuzulu na muda wowote ule Wananchi watautikisa usajili wa msimu huu baada ya Mnyama kufanya hivyo hapo jana.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger