8/09/2020

Boss Simba Atangaza Kujiuzulu Ghafla, JE Kuna Uhusiano na Usajili wa Morrison ?Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa ametangaza kujiuzulu kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.
Senzo ameandika ujumbe wa kujiuzulu kwake kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitter na kuwashukuru Wanamsimbazi.
”A special thank you message to @SimbaSCTanzania leadership for providing me the opportunity to lead this great club. I regrettably have tendered my resignation from the club with immediate effect. Within a short space of time , a lot has been achieved. Asanteni Sana wana Simba.” – Senzo Mazingisa
Kujiuzulu kwa Afisa huyo wa Mabingwa wa nchi kumekuja ghafla tu baada ya kupita siku moja tangu kutambulishwa rasmi kwa mchezaji Bernard Morrison ambaye amekuwa na mgogori wa kimkataba na timu ya Wananchi Yanga.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger