8/21/2020

Breaking: Nane Wafariki Katika Ajali KageraJumla ya watu nane akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja ambaye mama yake amenusurika wamepoteza maisha mkoani Kagera na wanne hali zao ni mahututi baada ya gari la sabuni yenye namba za usajili T 392 AZB lililokuwa kilielekea jijini Mwanza kupata ajali na kupinduka wakati likitoka eneo la Nshamba lililoko wilayani Muleba.

Akizungumza akiwa kwenye eneo la tukio Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera Kamishina Msaidizi Revocatus Malimi ametembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali teule ya Rubya na hospitali ya Ndolage na kusema kuwa katika ajali hiyo watu 23 walipata majeraha ya madogo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger