8/19/2020

Breaking News: Rais Magufuli Afanya Uteuzi huuRais Magufuli amemteua Joseph Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Mkoani Dodoma akichukua nafasi ya Godwin Kunambi, kabla ya uteuzi huo Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili wa Jiji la Dodoma.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger