8/11/2020

Breaking News: Serikali ya Lebanon yajiuzulu Kisa Mlipuko wa BeirutWaziri mkuu wa Lebanon Hassan Diab, Jumatatu usiku alitangaza kujiuzulu kwa serikali yake, kufuatia shinikizo kutoka kwa raia wa nchi hiyo, ambao wamekuwa wakishiriki maandamano kwa siku kadhaa kufuatia milipuko mikubwa mjini Beirut Jumanne wiki jana, iliyosabisha maafa na hasara kubwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger