8/14/2020

Breaking: Onyango Beki Wa Gor Mahia Atambulishwa SimbaJOASH Onyango, nyota wa zamani wa Klabu ya Gor Mahia leo ametambulishwa rasmi ndani ya Klabu ya Simba.

Onyango raia wa Kenya amefanya kazi kwa ukaribu na Francis Kahata alipokuwa ndani ya Gor Mahia jambo linaloongeza ukaribwa wa familia hizo mbili kikazi ndani ya Simba.

Onyango alikuwa anapakaa rangi nywele na ndevu zake, sasa amekuja na muonekano wa tofauti kivingine tayari kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2020/21.


Habari zinaeleza kuwa beki huyo amesaini dili la miaka miwili.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger