8/27/2020

Carlinhos Apewa Namba ya Sibomana Yanga....CARLOS Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo maarufu kwa jina la Carlinhos, ndani ya Yanga amekabidhiwa jezi namba 11 iliyokuwa ikivaliwa na kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Patrick Sibomana raia wa Rwanda.

Sibomana ambaye mkataba wake umesitishwa na Yanga na kupewa mkono wa kwaheri, msimu uliopita alikuwa akiivaa jezi hiyo kabla ya kukabidhiwa Carlinhos.

Jana Jumatano wakati Carlinhos alipofika mazoezini kwa mara ya kwanza, alikaribishwa kwa staili ya kucheza mziki na kiungo mkabaji wa timu hiyo, Mkongomani, Mukoko Tonombe.

Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store. Utasoma Habari, Magazeti yote kutoka GPL
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger