8/17/2020

De Bruyne Atwaa Tuzo ya Mchezaji bora wa EPL


Kevin De Bruyne amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu soka nchini England msimu wa 2019-20.

De Bruyne amewashinda Jordan Henderson, Sadio Mane na Trent Alexander-Arnold wote wa Liverpool.

Msimu wa 2019-20 kwenye Premier League De Bruyne amecheza mechi 35 na kufunga magoli 13 na Assist 20.

Rekodi ya Assist nyingi kwenye msimu mmoja wa Premier League ilikuwa inashikiliwa na Thierry Henry ambaye alitoa Assist 20 kwenye msimu wa 2002-03.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger