8/30/2020

Diamond, Kiba Walivyomaliza Ubishi Uzinduzi Wa Kampeni Za CCM


Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.Katika shoo hiyo iliyooneka kama vile mpambano wa kumaliza ubishi alianza kupanda jukwaani Ali Kiba na Kisha alimalizia Diamond Platniumz ambao kila mmoja alionesha uwezo wake.

Wawili hao kila mmoja alivyopanda jukwaani umati uliofirika uwanjani hapo ulilipuka kwa mayowe ya kushangilia.Kelele za Kiiiba…Kiiiba… Kiiiba na zile za Siiimba…Siiimba Siiimba ndizo zilizotawala uwanjani hapo wakati wawili wakipandishwa jukwaani kila mmoja kwa wakati wake.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger