8/01/2020

Diamond: Mwenyezi Mungu anijaalie Iddi ijayo, nami niile nikiwa kwenye NdoaMsanii alieuteka muziki wa kibongo Diamond Platnumz ameonesha hisia zake za kutamani Maisha ya ndoa na kusema kuwa anaomba MUNGU kabla ya kiku kuu ya IDD ijayo awe amefunga ndoa. 

Daimond ambaye amesheherekea harusi ya dada yake Esma hivi karibuni ameonyesha kuvutiwa na yeye kuoa na kuamua kuandika hivi kupitia ukurasa wake wa instagram; 

" Inshaallah Mwenyez Mungu anijaalie Iddi ijayo, nami niile nikiwa kwenye Ndoa...🙏🏼'' DIAMOND PLATNUMZ 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger