8/19/2020

Diamond Platnumz Ala Shavu Kubwa SIMBA Day Jumamosi Ijayo.....

SIMBA diamondplatnumz anatarajia kutumbuiza katika Uwanja wa Taifa kwenye Siku kubwa ya kumichezo inayoandaliwa na @simbasctanzania maarufu kama SIMBA DAY.

Hilo Limethibitishwa na Msemaji Mkuu wa Timu hiyo @hajismanara , ambae amesema Mwaka huu Tamasha la Simba Day Litakuwa Kubwa kama Matamasha Makubwa ya Muziki .

Tamasha hilo linategemewa kufanyika Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa , huku likisheheni Matukio Mbalimbali ya kimichezo na Burudani maalumu Kwa ajili ya Wapenzi wa Timu ya Simba na wapenda Michezo Nchini .

Je, nini Mategemeo yako kuhusu Tamasha La Simba Day La Mwaka huu?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger