AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Basi la Kampuni ya Ally’s linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limeteketea kwa moto eneo la Bahi Mkoani Dodoma leo Jumatano, Agosti 26, 2020. Hakuna taarifa za vifo wala majeruhi mpaka sasa, tunaendelea kufuatilia tutakujuza kwa kina.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK