8/01/2020

Dogo Janja: Amwagia Sifa ‘Baby’ Wake "Huyu Mwanamke Amenifanya Nimewasahau Wengine"Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abdulazizi Chande almaarufu “Dogo Janja” amefunguka kuwa mchumba wake yupo tofauti na wanawake wengine aliyewahi kuwa nao kipindi cha nyuma.

Akizungumza na gazeti la Risasi Dogo Janja amsema kuwa amewahi kuwa na uhusiano na wanawake tofauti tofauti ila kwa huyu wa safari hii  amegonga mwamba.

“ huyu mwanamke amenifanya  nimesahau hata kama nishawahi kudate na wanawake wengine najionaaa kama nimekuwa mpya tena yupo tofauti sana na wanawake wengine hakika anajielewa”,alisema Dogo Janja ambaye aliwahi kufunga ndoa na muigizaji wa Bongo Muvi Irene Uwoya.

Stori: Khadija Bakari
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger