8/07/2020

Dozen Afunguka Kuondoka Clouds Kama Ruge Angekuwa HaiHamis Mandi  (B Dozen) ameweka wazi kuwa kama aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi wa kituo cha habari cha Clouds Fm, Ruge Mutahaba angekuwa hai asingeondoka kwenye kituo hicho.

Akizungumza kwenye kipindi cha Gerezani kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ETV na kudai kuwa mapenzi yake kwenye tasnia ya burudani ndio yamefanya ahame kutoka clouds Fm na kujiunga na Efm.

“Nafikiri kama angekuwepo nisingeondoka Clouds, lakini mimi ni mtu ninayependa zaidi burudani kuliko kutangaza kwa hiyo Majizzo alivyonipa mipango yake nikaona huku ndiko kuna   Future” amesema Hamis.

Dozen alitambulishwa rasmi kwenye kituo cha E fm mapema Mwezi wa Juni baada ya kudumu clouds Fm kwa takribani miaka 9.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger