8/10/2020

Ebitoke: Sina Wivu na Wachekeshaji ChipukiziMSANII wa vichekesho Bongo, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema hana wivu hata kidogo na wasichana wanaochipukia katika uchekeshaji kwa sababu na yeye alitokea huko.

Akizungumza na AMANI msanii huyo alieleza kwamba kila siku vipaji vipya vinatokea hivyo anachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha anazidi kuwa bora katika sanaa hiyo na sio kuwaonea wivu.

“Unajua sasa hivi kuna wasanii wengi wa kike ambao wanafanya komedi tena wapo vizuri, sasa siwezi kusema nawaonea wivu nitakuwa sina akili, lakini ninachotakiwa kukifanya kwa sasa ni kuhakikisha naongeza ubora kwenye kazi zangu ili nisishuke kisanaa,”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger