8/09/2020

Exclusive: Bilionea Laizer Kafunguka MAPYA “Walitaka Kunitapeli, Hela Tunagawana”Bilionea Saniniu Laizer amezungumza kwenye exclusive  interview na Millardayo.com nakusema kwamba kuna watu walimfuata  nakumshauri wakitaka awauzie madini yake ya Tanzanite aliyoyapata nakusema kwamba walitaka kumtapeli akaamua kuyauza kwa serikali

Laizer amesema katika uchimbaji wa madini kuna watu anasaidiana nao na hela aliyoipata sio yake peke yake bali anagawana na watu wengi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger