8/11/2020

EXCLUSIVE: Noorah awa muuza duka, afunguka mazito “kila shabiki namdai elfu 10, wanaabudu ngono” (+video)Haji Noorah maarufu ‘Noorah baba Stylz’ ni miongoni mwa majina makubwa kwenye muziki wa bongofleva, sasa hivi ni zaidi ya miaka ya miaka 10 hajasikika kwenye muziki, pamoja na kwamba Noorah alipitia matatizo kadhaa ikiwepo ajali mwaka 2005 lakini pia mke wake wa kwanza kufariki 2015 lakini kuna sababu anazo za kwanini sasahivi hayupo tena kwenye muziki.

AyoTV na millardayo.com tumemtembelea ofisini kwake Shinyanga Mjini maeneo ya Kambarage ambapo biashara yake ya sasa ni kuuza spea za magari.

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger