8/16/2020

Faiza Aibu Zangu Zimenifikisha Mbali
MREMBO ambaye alijiingiza pia kwenye uigizaji; Faiza Ally, amefunguka kuwa kila kitu alichopitia maishani pamoja na aibu zote alizokumbana nazo kwenye mitandao ya kijamii, zimemfi kisha mbali na hivi sasa ni bilionea mtarajiwa.


 


Akizungumza na AMANI kwa njia ya simu akiwa jiji Dar baada ya kurejea kutoka nchini Thailand, alipokaa takribani miezi mitano kutokana na maambukizi ya Corona, Faiza alisema amepitia mambo mengi na ya kuumiza, lakini kikubwa aliyapita na sasa ni mtu wa matawi ya tofauti kabisa

“Yaani sijui niseme nini, nimepitia aibu mbalimbali na za kila aina, lakini niliziacha zinipite na mpaka sasa zimenipeleka mbali sana mpaka hapa nilipo ninastahili kijitunza mwenyewe na sisubiri mtu,” alisema Faiza.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger