Fatma Karume Amlipua Tena Msajili Wa Vyama Vya Siasa “Nimesikiliza Nimecheka Sana”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume amesema kitendo cha msajili wa vyama vya siasa nchini kujifanya mlezi wa vyama siasa ni kinyume na sheria na vyama vya saisa vinapaswa kutambua hilo.

Akuzungumza wakati wa mkutano mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo unaendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Diamnd Jubilee jijini Dar es salaam, Karume amesema kisheria msajili ni mtu anayetakiwa kuweka rekodi za vyama na sio kulea vyama.

  “Kazi ya msajili wa vyama vya siasa ni kuweka rekodi za vymaa vya siasa sio kuela vyama vya siasa, kama amejipitisha yenye mwenyewe kuwa mlezi  wa vyama vya siasa na kuna maku
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad