8/07/2020

Gari yaacha njia nakuua wanafunzi watatu Arusha,wawili wajeruhiwaWanafunzi watatu waliokuwa wanasoma katika shule ya Olmoti mkoani Arusha ,wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa  baada yakugongwa na gari ambayo  imeacha njia

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Salum Hamduni amesema gari hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Sariko Mwenda katika barabara ya East Afrika eneo la Olmort,ambapo iliacha njia nakuwagonga wanafunzi hao walikokuwa wanatembea pembezoni mwa barabara wakitoka shule


“Chanzo cha ajali hiyo ni uzembe na dereva alishindwa kumudu gari lake nakupoteza  mwelekeo nakugonga gari nyingine ubavuni pamoja na baiskeli,mtuhumiwa amekamatwa”-Kamanda Hamduni

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger