AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mgombea wa Ubunge jimbo la Masasi mjini kwa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Geofrey Mwambe leo Agost 22 amechukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi hiyo, kushoto ni msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Masasi mjini ambaye ni mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Masasi, Gimbana Ntavyo akimkabidhi fomu hiyo: PICHA : Hamisi NASRI.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK