8/10/2020

Gigy Money "Nandy Nishamalizana Nae Nimempa za Uso Ishatoka"


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema sasa hana tena kinyongo moyoni mwake na msanii mwenzake Faustina Charles ‘Nandy’ kwa sababu alishatoa ya moyoni.

Akipiga stori na AMANI, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina yake alisema kwamba siku zote inapotokea mtu amemkera au kumfanyia vitu visivyo na staha, humaliza hasira zake kwa kumwambia ukweli kisha baada ya hapo maisha mengine yanaendelea.

“Nilishasema yale ambayo nilitakiwa kusema, hivyo mimi sina kinyongo tena na huyo mwanamke, maisha yanaenda, tufanye kazi tuache maneno maneno,” alisema Gigy.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger