8/21/2020

Habari Njema Kuhusu CORONA, Urusi Kutumia Watu 40,000 Majaribio Chanjo ya CoronaWanaounga mkono mradi wa Urusi wa chanjo ya virusi vya corona wanasema majaribio ya chanjo hiyo ya kwanza nchini humo yatafanyiwa zaidi ya watu 40,000 yatakapoanza wiki ijayo.

 Inadaiwa kwamba majaribio hayo yatasimamiwa na shirika la nje ya Urusi. Hii ndio taarifa ya kwanza kutolewa na watengenezaje wake ambao wanataka kuondoa wasiwasi kutoka kwa baadhi ya wanasayansi wanaohofia ukosefu wa data kutoka kwa serikali ya Urusi kuhusiana na chanjo hiyo kufikia sasa.

Chanjo hiyo kwa jina "Sputnik V" imesifiwa na serikali ya Urusi na wanasayansi nchini humo kufuatia miezi miwili ya majaribio kwa binadamu. Matokeo ya majaribio hayo lakini hayajawekwa wazi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger