Harmonize Aanzisha TUZO zake za Muziki, Ajiweka Mshindi Vipengele Vyote...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwimbaji @harmonize_tz amekuja na Tuzo zake za muziki na amejipa ushindi kwenye vipengele vyote kwa mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Konde Boy aliweka picha inayoonesha video ya wimbo wake #JESHI ikiwa namba 1 kwenye Trending ya YouTube Tanzania kisha kushusha mashavu ya Tuzo chini.

Kwenye vipengele vyote 10, Harmonize amejiweka mwenyewe pamoja na msanii wake @ibraah_tz ; Vipengele kama Album of the Year (Afro East), Song Of the Year (Bedroom), Video of the Year (Mpaka Kesho), Best Collaboration (One Night Stand), Best Male Artist (Harmonize) SWIPE kuona vipengele vingine.

Hivi karibuni Harmonize alijitoa mstari wa mbele na kuhoji kuhusu Tuzo za muziki Tanzania, hoja ambayo ilipokelewa vyema na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe pamoja na Baraza la Sanaa BASATA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad