8/09/2020

Harmonize "Inaniumiza Jack Wolper Kumwita Mpenzi Wangu Sponsor"

Akimzungumzia Wolper, Harmonzie amesema

“Nilipanga nisimwambie lakini anasema vingi, amekuwa akifanya interviews anamsema vibaya Sarah. Unavyomwita mwanamke wangu (Sarah) ambaye nampenda kwamba ni sponsor, kibinadamu inaumiza. Inaniumiza kumwita mpenzi wangu Sponsor ambaye punde si punde tunatarajia kuwa na mtoto kwa sababu tayari Sarah ni mjamzito,” amesema Harmonzie.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger