8/17/2020

Harmonize,H Baba Wamfanyia Surpise Barnaba Classic


Wikiendi ilikuwa ndefu au busy sana kwenye upande wa burudani kutokana na yaliyotokea kuanzia Uwanja wa Uhuru ambapo zaidi ya wasanii 100 walifanya show kupitia chama ca Mapinduzi CCM pamoja na show aliyoifanya Barnaba.Tuliangalie hili la Barnaba ambalo alitumia zaidi ya saa 3 stejini kufanya show ambayo ilihudhuriwa na mastaa kibao kama Harmonize, Gigy Money, Lulu Diva, H Baba, Country Boy, Linah, Aslay, Tunda , Whozu, Kusah, Beka Flavour , Chegge na Don Dada "Masha Love".

Kubwa ni suprise aliyofanyiwa Barnaba na wasanii wenzake ambao waliweza kumtunza pesa za kutosha wakati wa show hiyo, kwa harakaharaka unaweza kusema Barnaba amemwagiwa vibunda vya kutosha ambayo anaweza asifanye tena show mwaka huu na bado angebakiwa na pesa hizo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger