8/17/2020

Hii Ndio Siku ya Wanafunzi Kuosha Wazazi Miguu Nchini Indonesia...

Nchini Indonesia,kuna Siku maalum ambayo kila mzazi katika kila shule hualikwa shuleni. Katika siku hii, wanafunzi huambiwa wasafishe miguu za mama zao ili wasisahau kuwatunza wazazi wao hapo baadaye. Matokeo yake ni mazuri kwani upendo kati ya mzazi na mwanafunzi huongezeka maradufuJe ungependa hii Siku maalum ifanyike katika Shule za Tanzania?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger