8/08/2020

Hiki Hapa Kikosi Bora cha Msimu wa 2019/20USIKU wa kuamkia leo, kwenye Ukumbi wa Mlimani City ulitarajiwa kuwa na sherehe za tuzo kwa wachezaji ndani ya Ligi Kuu Bara 2019/20.


Na hiki ndio kikosi bora cha msimu wa 2019/20 huku Simba wakitoa wachezaji sita kilichotangazwa katika tuzo hizo; golini Aishi Manula (Simba) , mabeki Nico Wadada (Azam), David Luhende (Kagera Sugar) Bakari Mwanyeto (Coastal Union), Sergie Wawa (Simba), viungo  Zawadi Mauya (Kagera Sugar), Lucas Kikoti (Namungo), Clatous Chama (Simba). Na washambuliaji ni Meddie Kagere (Simba), John Bocco (Simba), Luis Miquissone (Simba)


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger