8/30/2020

Idadi ya watu walokufa baada ya kuporomoka kwa jengo nchini China yafikia 29 Serikali ya China imesema idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la mgahawa la ghorofa mbili huko katika jimbo la kaskazini la Shanxi imeongezeka na kufikia Watu 29, Watu wengine 28 wamejeruhiwa, wakiwemo 7 ambao wapo katika hali mbaya zaidi. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger