8/23/2020

Jeneza la Miaka 2,100 Lililokuwa Limeibiwa Kutoka Misri Larudishwa


Jeneza la miaka 2,100 lililokuwa limeibiwa kutoka Misri kwa kutumia leseni bandia, la kuhani wa zamani wa Misri Nedjemankh lilirudishwa katika jumba la makumbusho la Misri siku ya Jumatano.

Jeneza hilo lilipatikana kwenye Jumba la Sanaa la Metropolitan, New York baada ya kununuliwa kutoka kwa muuzaji wa sanaa mjini Paris mwaka wa 2017 kwa dola milioni nne za Marekani. Marekani imeomba Misri msamaha

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger