8/03/2020

"JPM bado ni Role Model wangu" Makonda Paul Makonda


"Rais aliniamini na kuamini ninachofanya ni kwa faida ya Watanzania na tukaibuka kidedea dhidi ya mapambano ya Dawa za Kulevya, JPM ni Rais msikivu kwangu tena mnyenyekevu na Mcha Mungu ambaye daima nitaendelea kumuenzi kwa vitendo” - aliyekuwa RC DSM Paul Makonda  akikabidhi ofisi kwa RC Kunenge

"Hata napotoka katika ofisi hii JPM bado ni Role Model wangu, juzi mmoja Mtu nilimwambia msithubutu kumchezea Dkt.Magufuli mkafikiri Makonda hatomtetea kwasababu hayupo kwenye kiti cha U-RC, nilikuwa jeshini ninazo medali za kivita, ni Askari aliyeko Backbencher lakini mwenye
uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa na Timu yenu mkihitaji uzoefu wangu katika mapambamo ya kumtetea JPM hata saa tisa usiku nitanyanyuka"-MAKONDA
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger