8/12/2020

Jux awa msanii wa kwanza kupata tuzo baada ya albamu ya ‘The Love’ kufikisha streams 1,000,000
Msanii wa muziki @juma_jux wiki hii amepokea tuzo baada ya albamu yake ya The Love Albam kupata streams 1,000,000 kupitia platform ya muziki ya BoomPlay.


Muimbaji huyo ameandika ujumbe huu “Nawashukuru sana mashabiki zangu kwa kuendelea kuonyesha upendo kwa kusikiliza albamu yangu ya kwanza, “The Love Album” mpaka kufikisha streams 1,000,000 kwenye app ya Boomplay. Naishukuru pia timu yangu iliyokuwa nami kipindi chote toka nilipokuwa na wazo tu la kufanya albamu mpaka kuwa albamu iliyopata mafanikio mengi. Nawashukuru sana na nitaendelea kuwapa kazi bora,”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger