8/17/2020

Kamati Kuu ya ACT Wazalendo yamteua Bwege kuwa mgombea Ubunge jimbo la KilwaKamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imemteua Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la BWEGE kutetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mkoani Lindi katika Uchaguzi Mkuu wa October 28, 2020, Bwege alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CUF (2015-2020) kabla ya kuhamia ACT.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger