8/07/2020

Kanye Adaiwa Kutumiwa na Donald Trump ili Kuzigawa Kura za Urais Nchini Marekani

Jana uliibuka mjadala wa wanahabari toka vyombo mbali mbali vya habari nchini Marekani, wakijadili kuhusu Kanye West na nia yake ya kuutaka Urais wa Marekani mwaka huu.

Wengi walimtuhumu Kanye kutumika kuzigawa Kura za watu weusi kati yake na Joe Biden ili kumpa ushindi kirahisi Rais Donald Trump. Kanye West hana nia ya kushindania kiti cha Urais.

Baada ya mjadala huo, Kanye aliibuka na kujibu tuhuma hizo kupitia mahojiano ya njia ya ujumbe mfupi aliyofanya na Forbes. Alisema anaenda kushinda uchaguzi na sio kufifisha Kura za Biden ili Trump ashinde kwa awamu ya pili.

"Walking, walking.... to win" alisema Ye.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger